Psalms 65:12-13

12 aMbuga za majani za jangwani umezineemesha;
vilima vimevikwa furaha.
13 bPenye nyanda za malisho pamejaa makundi ya wanyama,
na mabonde yamepambwa kwa mavuno;
vyote vinashangilia kwa furaha na kuimba.
Copyright information for SwhNEN